Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kile cha Azam play tulichokua tunalipia elfu 28 now ni elfu 35..
Kwa mwezi mmoja.Mkuu naomba kuuliza:
Ukilipia hii 35 ni kwa mwezi ama ni miezi mitatu ?
Azam walishapandisha tayariBaada ya Dstv kupandisha vifurushi vyake mwezi septemba, nimedokezwa muda wowote kuanzia sasa, AzamTv nae atapandisha vifurushi vyake, kile cha kuona mpira elfu 20 sasa kuwa 25! Ni matokeo ya mlolongo wa kodi walizopanfishiwa. Je tutafika?
Unaweza ukatumia mwezi 1, ukashaanngaa unaambiwa kifurushi chako kimeisha, Bongo kila kitu kinawezekana.Natamani pale Azam Tv pawepo na namna ya kulipia kifurushi walau kwa miezi 2, 3 au 6 kuliko hii ya mwezi mmoja mmoja.
Heee!!mbona huduma hiyo ipo hata kama unataka kulipia mwaka mzima?!!ni wewe tuNatamani pale Azam Tv pawepo na namna ya kulipia kifurushi walau kwa miezi 2, 3 au 6 kuliko hii ya mwezi mmoja mmoja.
Wacha Mama aendelee kuupiga mwingi! Jirani na ninapokaa kinajengwa Kituo cha Afya. Tumeambiwa ni matunda ya TOZO kwenye vifurushi vya simu! Uenda TOZO ya vifurushi vya TV ikaleta kitu kingine mtaani kwangu!Baada ya Dstv kupandisha vifurushi vyake mwezi septemba, nimedokezwa muda wowote kuanzia sasa, AzamTv nae atapandisha vifurushi vyake, kile cha kuona mpira elfu 20 sasa kuwa 25! Ni matokeo ya mlolongo wa kodi walizopanfishiwa. Je tutafika?
Miezi mitatu! Kaanzishe yako.Mkuu naomba kuuliza:
Ukilipia hii 35 ni kwa mwezi ama ni miezi mitatu ?
hahahahahaha wabongo kwa mtelezo hawajamboMiezi mitatu! Kaanzishe yako.