Azam Tv kurusha live harusi ya Jotti kutoka Mlimani City

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Harusi ya mchekeshaji mahiri nchini Jotti itaonyeshwa live na Azam Tv kupitia chanel yake ya Sinema Zetu kuanzia saa tatu(3) kamili usiku live kutoka mlimani City.

Joti ameahidi burudani na vitu vizuri kwa watazamaji wote wa sinema zetu huku akipigwa tafu na macelebrity kibao kutoka Tanzania
 
Ntamcheki!! Kwenye runinga watu waliobaki wanaofaa kupewa muda kwa kuwatazama ni wawili au watatu tu! Ukiondoa wale akina magu ambao huwa tunalazimika au kulazimishwa kuwatazama!! Joti ni mmoja wa hao wanaostahili attention ya hadhira (ubaya wake ni kuwa Kada wa magamba)
 
Nimeona tangazo huku uswazi kwenye vibanda umiza.

Kiingilio 500. Nitaingia niangalie.
 
mbona azam wanasema saa moja jion au imechanganywa???!
 
Ahaaa anavyojua kujiremba asije mzidi mkewe urembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…