Azam TV mechi mnazozirejea wekeni na tarehe

Azam TV mechi mnazozirejea wekeni na tarehe

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Sasa hivi naangalia Azam Sports 1 HD pana mechi wameweka kati ya Azam FC na Yanga SC, utaitambua tu kuwa ni marejeo ukisoma kwa chini kushoto neno ' HIGHLIGHTS '.
Mechi hii huwezi itambua ni ya lini ila imechezwa uwanja wa Chamanzi, nawashauri wawe wanaweka tarehe mechi za marejeo siku zilipochezwa .
 
Back
Top Bottom