Azam tv mmeweza, lakini kuna shida kundi la vijana

Azam tv mmeweza, lakini kuna shida kundi la vijana

Multi-skilled

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
909
Reaction score
3,476
Azam TV Niwapongeze kwa kusaidia kuleta mapinduzi makubwa kwenye soka la Tanzania kwa sasa kila nyumba ina shabiki wa mpira kama si familia nzima, Mnastahili pongezi.

Lakini hofu yangu ni juu ya kuongezeka kwa vijana wavivu wanaopenda kuangalia mpira muda wote wakimaliza NBC PL wanaenda Laliga wakimaliza wanaenda EPL, kwa kifupi imekuwa ni kilevi kipya kwa mtanzania.

Hali hii imechochea kuongezeka kwa wachambuzi wa mchongo kuanzia level ya nyumba mpka vijiweni, kazi hazifanyiki watu wanawaza mpira tu.

Ushahuri wangu tutumie platform hizo hizo kuwaambia watanzania madhara ya kukaa na TV muda wote. Nchi karibia asilimia 70 ni mapori Badala ya kulalamika wachina na wageni kununua maeneo ya kilimo na kuchukua ajira za wazawa tujitahidi kuwapa elimu wazawa juu ya fursa zilizopo wakiwa wanaendelea kuenjoy AZAM TV.

Ni mtazamo tu.
 
Burdani kwa wote kimsingi Wana vipindi mpaka vya ubunifu kama kile Cha Mercy na kijana flani mswahili Swahili(ila anajua kazi yake)
Tena kinawahusu vijana sema wengi tumechagua kuangalia mpira
 
Mkuu umejiandaa kwa mashambulizi lakini?

Kijana wa Daslam unamtajia mapori?
Ngoja waje tuone.
 
Burdani kwa wote kimsingi Wana vipindi mpaka vya ubunifu kama kile Cha Mercy na kijana flani mswahili Swahili(ila anajua kazi yake)
Tena kinawahusu vijana sema wengi tumechagua kuangalia mpira
Hatuna limit mkuu
 
Back
Top Bottom