BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Sio kweli, DSTV ni ss 3 and 4 ambazo zinapatikana kwenye premiumDSTV chanel ya SELECT inatirika na EURO
Jana pia wamesema SELECT wataonyeshaSio kweli, DSTV ni ss 3 and 4 ambazo zinapatikana kwenye premium
OK nashukuru kwa taarifa, kumbe nitanunua family compact kama kawaidaJana pia wamesema SELECT wataonyesha
Wana bodi,
Naomba kujua ni kifurushi kipi cha Azam wataonyesha michuano ya Euro 2016,
Mwenye uzoefu tafadhali
S11 na 12 pia zitaonesha ndo nazitumia kifurush cha CompactOK nashukuru kwa taarifa, kumbe nitanunua family compact kama kawaida
Sawa mkuu nashukuruS11 na 12 pia zitaonesha ndo nazitumia kifurush cha Compact