Azam TV na Tamthilia za Kigeni

Azam TV na Tamthilia za Kigeni

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
434
Reaction score
1,126
Habar zenu wanajamvi.
Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu.
Lakini uhalisia uliopo na usiojificha Azam Tv inazitangaza zaidi filamu na tamthilia za kigeni kuliko za ndani. Kuna promotion au tangazo la channel ya Azam Two kwa siku linarudiwa zaidi ya mara 70. Kuna mtangazaji anajiita Mrisho Senga na caption yake ya neno 'TUONGEE TAMTHILIA' sijawahi kumsikia akimuhoji mtu yeyote au kusifia kuhusu tamthilia za ndani zinazorushwa kupitia channel ya Sinema Zetu badala yake muda wote amekuwa akihoji kuhusu tamthilia za kigeni zinazorushwa kupitia Azam Two. Why? Hii ina maana gani kwenye kukuza kiwanda cha ndani cha tamthilia na filamu?
 
Back
Top Bottom