Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Haki haitangazwi, inajitangaza yenyeweKama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..
Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..
Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Let us not blame them. Their hands are tied.Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..
Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..
Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Mhm sio kwamba ni biashara ya mtu hiyo mkuu? Kwa sababu biashara na uchawa wa kimaslai ni ngumu kuvitenganisha.Hao ni bakwata tv
Baresa ni mmoja wao wa kundi la raia feki lenye ajenda ovu dhidi ya tanganyika ...ndiyo maana huku bara afanyi uwekezaji wowote isipokuwa uwekezaji wa kuchuma tu ....baresa ana magorofa kkoo toka yawe mali yake ajawai hata kuyapaka rangi zaidi ya miaka 25 yana hadi ukoko ...tatizo tanzania tunadhani kila mwekezaji ni mzalendo tunatakiwa kuinuwa wawekezaji wazawa wenye uzalendo .Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..
Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..
Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
😂😄😁Hao ni bakwata tv
Mhm sio kwamba ni biashara ya mtu hiyo mkuu? Kwa sababu biashara na uchawa wa kimaslai ni ngumu kuvitenganisha.
Kila chombo cha habari duniani kina mrengo. CBS na Fox News ni washabiki wa Trump. Washaurini wafuasi, washabiki na wafadhili wenu waanzishe vyombo vya habari kuliko kukaa na kulalamika wengine!Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..
Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..
Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Bakhresa Group ina udini sana na uzenji mwingi.Mhm sio kwamba ni biashara ya mtu hiyo mkuu? Kwa sababu biashara na uchawa wa kimaslai ni ngumu kuvitenganisha.
kuna Chombo cha Habari Tanzania hii ambacho hakiegemei CCM? hata humu kwa sasa post nyingi zinazo husu CCM zinapigwa pini, Jana nashangaa juna post yangu ilipigwa piniKama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..
Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..
Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Nguvu ya umma ni kubwa kuliko hako ka tv kaoKama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..