hewamkaa
Member
- Mar 30, 2023
- 85
- 127
Walaumiwe kwa kushadadia makosa refa yakukataa goli la APR, kati ya Mlandege na APR. Walaumiwe kwa kuonyesha kipa SINGIDA akidakia nje, kati ya Simba na Singida. Mwamuzi alitafsiri kama kona, kumbe sivyo.
Azam Tv wao siyo VAR. Kazi yao ilikuwa ni kutangaza tu. Iwapo kuna makosa ya waamuzi, hawakutakiwa ku comment. Na wala hawakutakiwa kurudiarudia, kwa maneno au kwa picha, yale matukio yenye kasoro.
Kitendo cha kurudiarudia haya matukio kimesababisha chuki na lawama kati ya mashabiki na refa, na kati ya wachezaji na waamuzi.
Tafadhali Azam Tv msirudie tena na tena