Azam Tv ndiyo ya kulaumiwa Mapinduzi cup

hewamkaa

Member
Joined
Mar 30, 2023
Posts
85
Reaction score
127
Walaumiwe kwa kushadadia makosa refa yakukataa goli la APR, kati ya Mlandege na APR. Walaumiwe kwa kuonyesha kipa SINGIDA akidakia nje, kati ya Simba na Singida. Mwamuzi alitafsiri kama kona, kumbe sivyo.

Azam Tv wao siyo VAR. Kazi yao ilikuwa ni kutangaza tu. Iwapo kuna makosa ya waamuzi, hawakutakiwa ku comment. Na wala hawakutakiwa kurudiarudia, kwa maneno au kwa picha, yale matukio yenye kasoro.

Kitendo cha kurudiarudia haya matukio kimesababisha chuki na lawama kati ya mashabiki na refa, na kati ya wachezaji na waamuzi.

Tafadhali Azam Tv msirudie tena na tena
 
Tz kuna watu matako matako sana kama wewe
 
Faras wahed!!
 
Achana na mpira, tafuta fani nyingine mkuu
 
Azam wanafanya biashara kubwa kupitia mpira halafu waowao ndio wanauharibu mpira kwa kushadadia makosa ya kawaida ya kibinadamu ambayo yalishatokea na yametokea na yanaweza kutokea popote pale dunia ktk ulimwengu wa soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…