Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na ilivyo sasa.
Nusu ya uwanja inaonekana giza na nusu mwanga kupitia TV. Ikishindikana, itatulazimu kutumia tochi huku majumbani kwetu.
Nusu ya uwanja inaonekana giza na nusu mwanga kupitia TV. Ikishindikana, itatulazimu kutumia tochi huku majumbani kwetu.