The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,581
- 7,252
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
Hovyo tuMkuu umeshindaje
Kwani hakuna tv Maria ahamie ukoNapenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Angeibadirisha kabisa chanel hiyo iitwe islamic tv watu kama nyie nilikuwa nawategemeaKwani hakuna tv Maria ahamie uko
Haujui unachokiandika poleMwambie Gwajima nae afungue kituo cha Television Anao hela
#NipoTayarKwaUgomvi
Mkuu si uangalie Chanel zingineNapenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Hakuna zinazoonyesha bongo movie mkuu
Asante kaka[emoji38][emoji38][emoji38]haujui unachokiandika pole
Nataka niangalie filamu zetu za bongo ila sio hizo mfululizo zenye maudhui ya kidiniAsante kaka[emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe ndio hujui unachoandika Mwanangu
Kwenye Azam Tv kuna channels ngap??
Kila channel ina Tamthilia Siku hizi.
Ni sikukuu gani sasa hivi? 😨Mkuu Mbona kawaida. Mm si muislamu ila huu ni wakati wao, sikukuu yao. Tuwaheshimu.
Wakibana pasaka wakawa hawarushi za kwetu ndo ntawashangaa.
Badili channel au angalia movie.
Umenena mkuu ila tegemea upinzani mkubwa kutoka kwa wachangiaji maana japo ukweli wanaujua kua ile sio channel ya kidini bado watakupinga tu ila huo ndio ukweli Azam wanafeli sanaHili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
Si upande basi!![emoji848][emoji848]Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,