Kutoa jingles za Ramadhani ni kwenda mrama?Kwa hiyo wakienda mrama tukae kimya huku unalipia? kuhamisha chanel sio mwisho wa tatizo ni sawa na mwanaume kukimbia tatizo
Hiyo channel ni kidini? tuanzie hapo kwanza maana hayo mambo ya unayaleta weweHizo zenu ni fikra hatari za kibaguzi wa kidini. Hicho ni chombo cha habari makini ambacho hutoa maudhui kwa kuzingatia muktadha wa wakati huo ('timeliness' and relevance).
Ukiona wakati wa pasaka hakuna maudhui ya kushabihi maudhui ya pasaka, utakuwa na haki ya kulalamika. Vinginevyo vumilia tu au wakati huo chagua channels nyingine km ya askofu Joshua!!!
Angalia TBC1 yako. Azam ni chombo binafsi na kina malengo binafsi na walengwa fulani. Endelea na TBC na channel 10.Hayo yote nayajua ila wakienda kinyume lazima waambiwe ile sio channel ya kidini na issue sio imani ya mtu issue wanaleta udini sehemu isiyo sahihi
It is a free country and each of us has a choice to make.Kituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
Pesa yangu, naamua MIMI nitazame nini. KisiponipendezaKama una king'amuzi Cha Azam bonyeza others Chanel tazama Kuna chanel ngapi na zipi halafu uje ucomment Tena hapa
Mwambie Gwajima nae afungue kituo cha Television Anao hela
#NipoTayarKwaUgomvi
Hata mimiSABC=TBC, Azam is purely private driven by propriators' interests. Unapoangalia Azam TV usishangae kuona maslahi ya mmiliki ndio yanaongoza, hakuna cha ajabu.
Binafsi Azam TV nalipia kisimbuzi chao kwa sababu ya VPL pekee, siku TFF wakiwapora Azam haki ya kurusha VPL, soko lao litashuka kwa 50%. Kwa kuwa VPL imesimama na Bundesliga inaanza mwezi ujao, nitahamia Star Times na nitaacha kulipia kisimbuzi cha Azam hadi hapo VPL itapoanza.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Huonag zikiwekwa movie zenye content za christmas seasons? Au hizo content siyo za kidin?Kama ni channel ya dini sawa ila kama sio sawa, labda uniambie sinema zetu ni chanel ya dini?
Jibu kwanza kabla ya kuuliza mbona unaruka ruka ile ni channel ya kidini?Huonag zikiwekwa movie zenye content za christmas seasons? Au hizo content siyo za kidin?
Asante kwa kunielewaAngalia TBC1 yako. Azam ni chombo binafsi na kina malengo binafsi na walengwa fulani. Endelea na TBC na channel 10.
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Hujalazimishwa kuona mbona tbc mwanzo mwisho ccm mbwa weweNapenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu umeshindaje
Asante mbwa mwenzangu
Asante
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Achana nao hao. Ni wabinafsi sana na kujiona wao ni bora kuliko wengine. Mabasi yao ya mikoani utakutana na wachungaji waganga njaa wakihubiri na kuomba sadaka. Hatujalalamika.Simple tu uza king'amuzi cha AZAM kinunue cha TING....
Hivi ni kwanini ni ninyi tu ndugu zetu wakristo ndio huwa mnalalamika katika haya mambo...???
Sent using Jamii Forums mobile app