Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Ndio kipindi cha kurudi ITV, wajamaa wa Azam wana UDINI sana, sijui kwanini mnawaendekeza, warudishieni visembuzi vyao n
 
Kwa mfano ukipanda Basi la kilimjaro Ni kwaya mwanzo wa safari Hadi mwisho wa safari lakini mtu hashangai kwani Kuna ajabu gani sababu mtu mjinga tu ndio atake uliza maswala Kama haya
Hawa watu ni wabinafsi sana. Ukipanda magari yanayotoka Dar kwenda Arusha,kisha hotel mkaingia inayomilikiwa na muislamu utasikia lawama safari nzima. Kisa hapauzwi pombe.
Mbona gari ikiingia kwenye mahoteli yao yenye bar si hatulalamiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zetu wanalalamika hadi wanakera... Uzuri ni kwamba tunaweza kuwavumilia... Maana tunaishi nao huko mitaani... Amani na upendo vitawale...
 
Haya mambo yasikuumize kichwa. Tuvumiliane. Mimi pia nilipanda Dar express na mlangoni imeandikwa kila goti litapigwa na ndani ilikua na kwaya na kuna wakristo walifurahia na mimi nilivumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar express imeandikwa nje na wewe umeona hiyo kupanda ni hiyari yako, kwa kuwa maandishi umeyaona kabla ya kupanda. Kuhusu kwaya unaweza kuwaambia waondoe kuna tatizo kwani?
 
Huu nao ni uhafidhina na itikadi kali za kidini kama mnazowatuhumu wenzenu kuwa nazo. Mbona karibu TV zote jumapili hua zinarusha maudhui ya kikristo karibu siku nzima na sijaona yeyote ana lalamika?
Ila pia movie hizi zinazoitwa za kawaida si nazo nyingi zinaisha kwa wachungaji kuwaombea waliopotea au kuongoka mbona fureshi tu kila mtu anaangalia? Tusijipe muda wa kuumizwa na ishu za kawaida ndo maana wabongo tunazeeka haraka.. Mabasi yenyewe yanapiga kwaya safari nzima mbona hamna wanaolalamika!
 
Hiyo sio ofisi basi itakuwa kijiwe hiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…