Kuwa na visimbuzi viwili ila dish hilohilo moja.Hakuna zinazoonyesha bongo movie mkuu
Sawa mkuu nashukuru ila nadhani nitakipiga chini kabisa mpk ligi itakaporudi maana huu sio uungwanaKuwa na visimbuzi viwili ila dish hilohilo moja.
Zuku kuna Tv station za filamu za kibongo tano.
1. Zuku Swahili.
2. Mambo tv.
3. Sibuka.
4. Bongo sinema.
5. Raia tv.
Zakibongo wapi We unataka Matusi kakaa,Nataka niangalie filamu zetu za bongo ila sio hizo mfululizo zenye maudhui ya kidini
SABC=TBC, Azam is purely private driven by propriators' interests. Unapoangalia Azam TV usishangae kuona maslahi ya mmiliki ndio yanaongoza, hakuna cha ajabu.Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimekuambia unachokiandika haukijui na kinanipa picha na uwezo wako wakufikiria sasa hayo yote ya kuangalia matusi yametoka wapi ? inamaana azam huwa wanaonesha matusi? rejea kwenye uzi nimeelezea vizuri kuhusu hayo mambo kama wanayofanya clouds.Zakibongo wapi We unataka Matusi kakaa,
Me naona Hap ndio kubalance kwenyewe Lazma aonesha utofaut Kati ya Ramadan na Miezi mingine..Mbona Clouds jumapili wanagonga kwaya Kakaa
Hujui kitu wewe tulia maana huko uliporukia unajua mwenyewe hakuna aliyeongelea ukristo na uislam hapaSimple tu uza king'amuzi cha AZAM kinunue cha TING....
Hivi ni kwanini ni ninyi tu ndugu zetu wakristo ndio huwa mnalalamika katika haya mambo...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ni dhambi au Ana vunja sheria kwa kuonesha hizo filamu unaposema watu Kama sisi ulitutegemea una maanisha nini? Kwamba umeleta Uzi kwa sababu za chuki yako ya kuonesha hizo filamu au watu wakupe tu like sababu wewe hujapendezewa nazo? Sio lazima nikusapoti mimi binafsi naona Azam wako sawa tu ndio maana Kuna comment moja iko hapo juu mdau amekuambia Kama hupendezewi hamia DStvA
Angeibadirisha kabisa chanel hiyo iitwe islamic tv watu kama nyie nilikuwa nawategemea
Hujui kitu wewe tulia maana huko uliporukia unajua mwenyewe hakuna aliyeongelea ukristo na uislam hapa
Si msimu wa mfungo umeanza kujiandaa na idd al fitry? Au mm nimechanganya?, maana si muislamu.Ni sikukuu gani sasa hivi? 😨
Uzeni ving’amuzi, wakiona mauzo na viewes wanapungua basi watajirekebishaNapenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Tatizo nyuzi yake kaileta kwa chuki ukitaka kuamini angalia comment aliyo Ni qoute amini jibu kidini kuwa Mimi Ni muislamu wakati hajui dini yangu nikatambua kaileta kidini haina sifa ya kujadiliwaMwambie Gwajima nae afungue kituo cha Television Anao hela
#NipoTayarKwaUgomvi
Shida sio Chanel nyingine shida kwanini wanaonesha filamu zenye uislamu silamu hapo ndio tatizo Chanel zipo nyingi mpaka za kidini mule za dini zote
Haya mambo yasikuumize kichwa. Tuvumiliane. Mimi pia nilipanda Dar express na mlangoni imeandikwa kila goti litapigwa na ndani ilikua na kwaya na kuna wakristo walifurahia na mimi nilivumiliaHili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
Hama kabisa usiwapangie waoneshe nini huku DStv hapa nilipo naangalia filamu ya horow wahusika wote ni wakristo inaitwa Evel doorways Sasa sijui Hawa DStv ni wadini nilalamike [emoji23][emoji1787][emoji2960] ngoja na Mimi nifungue Uzi niwalalamikie DStv kwanini wanaonesha filamu yenye maudhui ya kikristo au mleta mada sababu Hawa ni wazungu haina noma! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Sawa mkuu nashukuru ila nadhani nitakipiga chini kabisa mpk ligi itakaporudi maana huu sio uungwana