Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Kwanini mnauogopa sana uislam ma kuwachukia waislam? Tukiwa huku maofisini tena ofisi za umma mnapiga nyimbo za injili, maombi ya Mwamposa kwa kutumia computer za umma au kwenye magari ya umma bila hata kuwa na eyephome au headphones ila Muislam akiweka kaswida au Qur'an mnaanza majungu. Na sisi hatutii neno!Kila baada ya nusu saa "Ramadhan Kareem"
So boring [emoji855][emoji855][emoji855]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa walikosea tangu mwanzo walipoingiza channels nyingi tu za kiislam kasoro chanel ya kikristo hata moja tuNapenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo?Kaka acha gubu kuna Zuku, kuna Star Times, kuna DStv pita nazo mzee baba au Kama vp kuna zile muvie za kwenye flash zilizotafsiriwa unaweza kujiongeza tu
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Asante kaka[emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe ndio hujui unachoandika Mwanangu
Kwenye Azam Tv kuna channels ngap??
Kila channel ina Tamthilia Siku hizi.
Hakuna too much hajakomaa kifikra tu
Halafu wengi wanaolalamika humu tatizo ni hawataki kuelewa channel ya sinema zetu sio ya kidini yeye azam angeanzisha chanel ya kidini kama lengo ni hilo muda huu watu wengi tupo nyumbani hatuna sehemu ya kwenda Tv ndio sehemu iliyobakia ila kila ukifungulia hiyo channel unakutana na mashekh na maostadh sijakataa ila ingekuwa kwenye channel special ya mambo hayo ,ila humu utasikia maneno mengi makelele ambayo point ni zero.Hawa walikosea tangu mwanzo walipoingiza channels nyingi tu za kiislam kasoro chanel ya kikristo hata moja tu
Na ndio maana mimi hata kama ningetamani kununua Azam walau kwa ajili ya ligi,
Niliona ni afadhali nikajinunulie Statimes!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua Chanel zote zilipo tatizo hujamuelewa shida yake yeye Ni hiyo Chanel inayo onesha filamu Zina muelekewo wa kiislamu silamu ndio kinacho mkera ndio maana akasema waibadilishe jina iitwe Islamic tvKing'amuzi cha Azam hata channels za kikristo zipo nyingi hadi kina mwamposa live ,nenda kwenye others kule kuna channels nyingi za mahubiri na kwaya
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Weka namba yako acha kufuturu bange kijana mdogo hapo kiwalaniPoa mzee baba Bado cjafuturu
Twende tukale mdudu
Sent by IPhone
Ww unazungumzia asili ipi na wwUwema gani unaozungumzia?
Yani niache asili yangu kisa upuuzi LMAO!
Kanunue kingamuzi cha TINGNapenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Kwani ulilazimishwa?Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kwenye bank nyingi kipindi cha x mass huwa wanaweza sana miziki ya injili, machapisho mbalimbali yenye maudhui ya kikristo. Hata vile vyombo vya habar vyenye wamiliki wakristo huwa ni hivyo wakati wa kwaresma na x mass, sasa kwa kuwa mmiliki wa Azam ni muislam anaweka maudhui hayo.Kila baada ya nusu saa "Ramadhan Kareem"
So boring [emoji855][emoji855][emoji855]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na zile bongo movie zinazoishia kwa mchungaji zina maudhui gani?Cha ajabu zaidi huwezi kuwaona wakiweka filamu za kikristo mwezi wa quaresma. Hapo ndo utajua kua Azam media/Sinema zetu iko kwa ajili ya special audience na sio wewe.
Mkuu haya malalamiko ni ya kwako au umetumwa na wife?Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.