Mkuu king'amuzi chako kina chaneli moja tu?......kuna chanell ya cinema zetu nk.Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Lakini mbona waislam huvumilia zile kwaya na Sara ambazo huwekwa mwanzo mwisho wa safari katika mabus mengi hasa ya kaskazini ambapo wamiliki wengi ni wakristo?Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,
Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mbona kawaida. Mm si muislamu ila huu ni wakati wao, sikukuu yao. Tuwaheshimu.
Wakibana pasaka wakawa hawarushi za kwetu ndo ntawashangaa.
Badili channel au angalia movie.
Mbona kwenye bank nyingi kipindi cha x mass huwa wanaweza sana miziki ya injili, machapisho mbalimbali yenye maudhui ya kikristo. Hata vile vyombo vya habar vyenye wamiliki wakristo huwa ni hivyo wakati wa kwaresma na x mass, sasa kwa kuwa mmiliki wa Azam ni muislam anaweka maudhui hayo.
Vumilia tu ndiyo uungwana , ukishindwa hama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani bank zinahudumia general au specific??Anaongelea TV STATION inayorusha maudhui kwa general audience na sio BANK!
Mkuu inawezekana nikawa na kisimbuz cha dstv na startimes nikiwa na dish la strtimes??Kuwa na visimbuzi viwili ila dish hilohilo moja.
Zuku kuna Tv station za filamu za kibongo tano.
1. Zuku Swahili.
2. Mambo tv.
3. Sibuka.
4. Bongo sinema.
5. Raia tv.
Nadhani wa kwako ndio umeishia pale ulipokuja na Manung'uniko ya kiboya, ukashindwa kujiongeza kwamba hakuna aliyekufata nyumbani ili ununue kisimbuzi cha Azam dhidi ya visimbuzi vingine.Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo?
Basi sawaHebu tofautisha kwanza Media na bank. Hivi kumbe siku hizi watu wanaenda bank kuangalia tv na si kuweka pesa?
I wish i could be IGP [emoji28]
Kwani mkuu azam tv kuna channel ngapi ambazo wamezitambulisha zitaonesha movie za hapa kwety bongo? zingelikuwa nyingi zinaonyesha wala isingekuwa tabu au ingekuwa hiyo channel ya sinema zetu ni special kwa movie za kidini wala isingekuwa taabuMkuu king'amuzi chako kina chaneli moja tu?......kuna chanell ya cinema zetu nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imekaaje Mwl Kashasha?Kuwa na visimbuzi viwili ila dish hilohilo moja.
Zuku kuna Tv station za filamu za kibongo tano.
1. Zuku Swahili.
2. Mambo tv.
3. Sibuka.
4. Bongo sinema.
5. Raia tv.
Mbona kuna channels nyingi tu na kama unaona haikidhi haja basi dondokea DSTV au Startime.Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
kwa hiyo hawa azam hawatakiwi kuambiwa ukweli jiulize huwezi kuwezi kusikia zbc analalamikiwa au tumaini tv analalamikiwa sasa hawa kugeuza chanel isiyo ya kidini kuanza kuonyesha mambo ya kidini ni sawa, jibu kwa facts sio mihemukoMbona kuna channels nyingi tu na kama unaona haikidhi haja basi dondokea DSTV au Startime.
Tatizo lako nini mbona kama unaleta kashfa bila kwenda kwenye pointMkuu haya malalamiko ni ya kwako au umetumwa na wife?
Kichwa cha familia unakaa sebuleni unaangalia sinema zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app