madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Mbona ile baada ya sultan ilikua ya kikristoKituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
Na clouds TV jeeKuna kuna kipindi kulikuwa na malalamiko waigizaji wa uhuru ni waislam watupu, hawa azam ni wadini sana
Sasa umekaa katika njia.. vizuri sanaNajaribu kuwa mstaarabu niwie radhi kama umekwazika.
Wakwetu, The Monk kaandika kila mtu kawa mwema mtaani kisa mwezi can't you see that's stupidity?Imekuaje unauita Upuuzi bwashee?
Unakuletea madhar gani hasaa mpaka wew ukamuua kuuita Upuuzi ??[emoji1][emoji1]
😂😂 sasa stupidity ndo kitu ganiWakwetu, The Monk kaandika kila mtu kawa mwema mtaani kisa mwezi can't you see that's stupidity?
Yani mwezi wa Ramadan uwe mwema ukiisha urudie ubaya wako sivyo?
Mtu kubadirika mwezi wa Ramadan kaka.😂😂 sasa stupidity ndo kitu gani
Kumbe ikoMtu kubadirika mwezi wa Ramadan kaka.
Wakwetu, The Monk kaandika kila mtu kawa mwema mtaani kisa mwezi can't you see that's stupidity?
Yani mwezi wa Ramadan uwe mwema ukiisha urudie ubaya wako sivyo?
Be real haya madini yamefanya watu wapumbavu sana na by the time Corona ikiisha Tanzania itashuhudia atheist wengi sana
Ni kweli maudhui makuu ya tamthilia ya sultani ni kulingania dini ya kiislam na kuonyesha umma kwamba imani hiyo ni suprime over all others including Jewish and christianity
Sasa kuna haja gani ya kuendelea kuabudu ikiwa umejaa uovu siku sita na ikifika Jumapili unakuwa mwema?Kumbe iko
Sasa mbona ni kawaida
Mbona kuna watu wengi sana zaidi ya sana ata ww na mm inaweza tukawa tupo humo
au tusiwepo
ila unakuta siku za ijumaa au jumapili ni watu wenye mambo mema sana lakini izi siku za kati apo
Matukio yake si mazuri ata kuyaandika hapa
Hamna dini ya biashara duniani na isiyo ya biashara zote wanatoa sadaka sijui kama unanielewa ila kuna madhehebu yako kimaslahi mathalani Makanisa ya Pentecostal, Africa na madhehebu ya Kiislamu, Ulaya (mfano ni Ahmadiya)You know big problem is not religion (Islam) Shida kubwa is how we treat it hicho ndicho kinachomatter Sana
Dini haisemi turudie ubaya baada ya mwezi
Kuisha ila ni Sisi wenyewe. Sio makosa ya dini ni makosa yetu.
Ni kweli dini zimechota watu lakini sio dini zote, Kuna hii Dini-biashara(Naitaga hvyo) huko ndiko natarajia tuone atheist weng Sana (Kama sio wote) watokee huko, Even if ningekua Mimi huko ningetoka tuu kaka.
[emoji1][emoji1][emoji1]Nahofia kuandika mengi ntazua mjadala hapa
Labda nikuulize kidgo for your entire life Rate ya watu kutoka Dini-biashara unaionaje kulinganisha Rate ya kuingia hii Dini ya Wanaofunga Ramadan (be honest wakwetu)
Sasa kuna haja gani ya kuendelea kuabudu ikiwa umejaa uovu siku sita na ikifika Jumapili unakuwa mwema?