Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Mkuu vumilia tu,mbona sisi tulivumilia sana enzi tunaangalia itv tu filamu ni za kinaijeria maudhui ya maombi tu muda wotw wote kwani walikuwa hawajui kuwa kuna imani zingine??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibu Zuku Tv, kwa maana wewe ni mpenzi wa sinema zetu. 🙂
 
Mbona tv nyingine na michezo mingine na ving'amuzi vengine vinaonesha sana mambo ya kikristo tena toka enzi hizo hakuna hata azam waislamu walikaa kimya kwasababu hawakua na option nyengine.

Sasa hivi wanayo option na hata wewe una option zaidi kwanini sasa usihamie huko kwenye maudhui yanayokuridhia
 
fungua cha kwako na wewe tangaza dini yako
 
WEWE HUJAWAHI IONA STARTIMES...

Channels za KIKRISTO zipo takribuni 8...alafu zilizopo Tanzania zote ni Free to Air...

Channels za Kiislaam zipo 3.
1. IQRA(hii ni ya Africa inaendesha takriban vipindi vyake vingi vinaendeshwa kwa lugha ya kifaransa na kihispania - INALIPIWA)

2. TV IMAAN(Hii ipo Nchini na inakusanya Majority Muslims waliopo nchini na atleast ndio Bora) - INALIPIWA.

3. IBN AFRICA TV (Hii channel ya ndani nchini ambayo inawahusu kundi la DHEHEBU LA SHIA ambao nchini wapo WACHACHE SASA) - FREE TO AIR.

HAKUNA WATU SIWAPENDI KAMA WACHINA...
 
Kuna Dstv
Kuna startimes
Kuna continental
Sio lazima utumie Azam decoder

Balance shobo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwamboa ninia azam tv pekee?
Azam wakienda tofauti hawatakiwi kuulizwa?
Je channel ya sinema zetu ni ya kidini kama zilivyo zbc, tumain tv na nyinginezo?
ukijibu hayo maswali bila porojo hapo tutabalance shobo
 
Nimeishia kucheka hujui lolote bora ungekaa kimya tu ingekusaidia
 
TANZANIA kuna vingamuzi sita. Wewe nunua Ting au continental kama dini yako ni ya kiasili otherwise funga DStv uangalie mpira. Azam wako vile wakitegemea wateja wao ndio wanachokipenda.
 
Kama una kingg'amuzi zaidi ya kimoja tatizo lako liko wapi? Pengine hawa jamaa wamefanya survey na kukuta wateja wao wa ukanda wote wa pwani ya afrika mashariki kipindi hiki wanapenda programs ambazo zinarushwa hewani??
Hata hivyo, ingekuwa busara zaidi kuwaandikia hao watoa huduma kuhusu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…