Azam TV tuwekee UEFA

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Hivi kwanini Azam TV hawarushi UEFA jamani?

Nawaomba jaman azam unganisheni mipango muwe mnatupatia uhondo wa UEFA.
 
Wamekusikia ndugu, umelalamika sana!!
 
mkiongezewa bei kidogo kelele kil mahali kumbe vitu vizuri mnavitaka, hamia dstv vyote hivyo utavikuta kule, sio ku order tu tuwekee hiki na kille
Azam wababaishaji sana, wanafanya biashara za kichuuzi...
 
Hivi unadhani ni kama njugu eeeh
Kama kashindwa kufikia mahitaji ya wateja kwanini anajiingiza sokoni, aendelee kuuza sembe na maandazi ndiyo anavyoviweza
 
sawa ila hawa dstv bei yao ipo juu sana hapa kwetu ni nini kinafanya ivi maana kwao wana kipato kikubwa mara kumi ya vipato vyetu lakini hii ya laki mbili kule hata tsh 80,000 haifiki..
 
Kama kashindwa kufikia mahitaji ya wateja kwanini anajiingiza sokoni, aendelee kuuza sembe na maandazi ndiyo anavyoviweza
Azam hawezi rusha EPL, UEFA maana hana hiyo hela... hii yenyewe kasindwa
 
Mi naomba kujua bei ya king'amuzi cha star times kwa walioko mwanza chenye dish maana nitakuja hapo kununua
 
Ivi bei ya Packages za Dstv kwa Kenya ikoje anayejua maana dstv wanalipa kwa dollars
 
Ivi bei ya Packages za Dstv kwa Kenya ikoje anayejua maana dstv wanalipa kwa dollars

Kenya wanalipa 9400 ksh
Tanzania ile kodi ndio imeongeza hiyo 19000 tsh ila ilitakiwa iwe sawa na kenya kwa 200000tsh
 
Kwa wale tusio na DSTV kupitia azam tv kuna channel yoyote inayoonesha UEFA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…