Game nyingi za mikoani camera zinatumika chacheazamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside.
Msitufanyie ubabe kwa sababu hamna mshindani kwenye matangazo ya mpira wa Tanzania, maisha yana badilika . Hiyo HD yenu ni uongo kabisa na muone aibu.
Wewe unafanyaje ili usilipie?Bado mnalipiaga vifurushi?
Azam kuna namna wanazingua, mechi za simba na Yanga ikifanyika kwa mkapa wanaenda na camera nyingi japokuwa kuna namna wanazingua hasa kwenye position mana Kuna shots muhimu zinakosekana hasa za offside na goli la utata likitokea mfano ile mpira umeingia ndani ya goli na kurudi uwanjani bila kugusa nyavu.Game nyingi za mikoani camera zinatumika chache
Azam na Dstv nk sina cha kuangalia kule.Wewe unafanyaje ili usilipie?
Pole sana mkuu, miswahili ndivyo ilivyo....haina customer care inayoeleweka. Mpira wa Yanga leo saa ngapi?azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside.
Msitufanyie ubabe kwa sababu hamna mshindani kwenye matangazo ya mpira wa Tanzania, maisha yana badilika . Hiyo HD yenu ni uongo kabisa na muone aibu.
Toa darasa kidogo hapa uponye wengiAzam na Dstv nk sina cha kuangalia kule.
Ni mwendo wa kustream online tu.
Hakuna majabu, mwanzo walianza kidogo vizuri wakaoandisha bei ya vifurushi . Sahivi hakuna HD kabisa ile quality ni below 1080 kabisaHee juzi tu si mlisema azam picha zake ni hd, itv na eatv camera zao za zamani, ghafla sahivi imekuaje tena camera za azam zishapitwa na wakati
Asante kwa taarifa mkuu.Saa kumi jioni
Na ni majizi kwa sasa ukilipia kifurushi hayakupi hudumaazamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside.
Msitufanyie ubabe kwa sababu hamna mshindani kwenye matangazo ya mpira wa Tanzania, maisha yana badilika . Hiyo HD yenu ni uongo kabisa na muone aibu.