Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wameishapigwa au?Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga
Yanga wameishapigwa au?
Haloooo hapa huwa utaifa unanishinda kusema kweli! Nisiomgope nitapata dhambi bureeeMbona unawaombea mabaya...Utaifa kwanza bhana...
Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga