Azam TV vs SportPesa: Kuna nini kati ya hizi Kampuni mbili, Azam hawaoneshi mechi zilizodhaminiwa na SportPesa?

Azam wamesahau kua maendeleo hayana dini! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sportpesa ni kamali mjue hilo! Ndiyo maana TBL imekuwa ngumu kufanya kazi na azam, azam walisema watajitoa endapo kampuni ya pombe itapewa udhamini.

Kwa hiyo sahau kuona game za sportpesa zikirushwa na azam tv
Azam TV ni nini?

Kanisa au msikiti?
 
Azam sio kampuni ya umma ni ya mtu binafsi anaamua anachotaka yy huwezi kumpangia.
Wapige chini chukua king'amuzi kingine,,tuacheni sisi wabishi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…