Azam Tv Wameleta Transmission ya Soka Letu

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Ukizumgumzia neno transformation ya team ya mpira iko vitu vingi sana including internal factors for instance data base ya team na data base almost inakuwa pushed on na fans wa team
.
Nawapongeza Azam TV kuleta hii kitu, wanalikuza soka letu ki-digital zaidi
.
Buku hainipunguzii chochote kwenye uchumi wangu.
.
Na kama kadi ya 27 nimeimudu why nishindwe kuchangia 1000?
.
Let we support our team by any means guys [emoji169][emoji172]



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haji yupo Kama nani
 

Attachments

  • IMG-20220602-WA0057.jpg
    70 KB · Views: 16
Ningekuwa mod ningekupa ban , mbona habari haijitosholezi ?
 
Wawakilishi walitakiwa wawili wawili ila manara na yeye kaomba awepo ili tu ampige vijembe babra nguruwe pori bwana [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…