Azam TV wana shida gani? Channel zote za sports hazioneshi

Azam TV wana shida gani? Channel zote za sports hazioneshi

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
 
Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
Mkuu umefanikiwa ??
Hata mm kwangu naon hakioneshi japo nimerestore lakin amna kitu
 
Mimi pia sizipati chanel mbili Azam two na Azam one kila nikibonyeza naambiwa is not subscirbe wakati nimelipia kifurushi Chao cha 17000
 
Sasa hv zina namba mpya kwahy unatakiwa kufanya auto installation Ili kuzipata.
 
Dah sasa niko mbali na Tv, ila bonyeza menu afu utaona setting Afu Kwa pembeni utaona kuna vipengele vitatu kuna auto installation, manual installation Na

Dah sasa niko mbali na Tv, ila bonyeza menu afu utaona setting Afu Kwa pembeni utaona kuna vipengele vitatu kuna auto installation, manual installation Na nyngn hapo.
Ngoja nijaribu mkuu
 
Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
Mbaya zaidi simu hawapokei, sms hawajibu, WhatsApp wamekimbia
 
Back
Top Bottom