Azam TV wataonyesha mechi ya Bumamuru vs Mamelodi Sundowns?

Azam TV wataonyesha mechi ya Bumamuru vs Mamelodi Sundowns?

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Wakuu naomba kujuzwa...

Je, Azam wataonyesha mechi tajwa hapo juu hapo kesho?

Natanguliza shukrani
 
Piga namba hii 0784108000 huduma Kwa wateja Azam Kwa taarifa zaidi na msaada pia
 
Jina lenyewe tu Bumamuru aisee hata ningekuwa Mimi nisinge onyesha
 
Back
Top Bottom