Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
DSTV ana haki miliki ya kuonyesha world cup ya miaka mingi sana na wanalipa zaidi ya Dola million 10 kwa mwaka kupata hiyo haki kwa Africa nzima.Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
Acha uongoKurusha kombe la dunia ni gharama kuliko kurusha EPL ama UEFA champions league.
Jiulize kama hizo bei nafuu zinawashinda wanaanzia wapi kumudu ya bei ghali
Ukweli ni upi?Acha uongo
Lazima serikali itarusha kupitia wabia wao ambao ni Startimes!Kurusha kombe la Dunia ni wajibu wa Serikali, sio kilakitu wafanye Azam. Serikali inabidi iwajibike kwaajili ya wananchi wake ata Kwa package chache.
Nchi nyingine Kila mkoa au wilaya Kuna baadhi ya sehemu za wazi vinafungwa vifaa na kwakutumia projector watu wanapata burudani na kusahau shida zao Kwa muda.
DSTV wana akili kuliko AzamDstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
Yeah Inatakiwaa kujuaa DSTV Ndio mwenye mamlaka wengine wakitaka kuonyesha lazima wamlipe dstv ili wajiunge naye kama ilivyo ligi yetu matangazo ya tv anayo hatimiliki azam na kwanjia ya redio anyo hatimili TBC fmDSTV ana haki miliki ya kuonyesha world cup ya miaka mingi sana na wanalipa zaidi ya Dola million 10 kwa mwaka kupata hiyo haki kwa Africa nzima.
Msimu uliopita wa 2018 walirusha mechi zote kupitia zile channel zao za michezo ngoja tuone namwaka huu kama watarushaStartimes je?
Huo ndio mda wa kuangalia Tbc kilazima DadekTBC1, UBC, KBC, RWANDA TV zote hizo zitaonyesha kama zipo Azam TV no problem