nasaluka
Senior Member
- Jun 20, 2015
- 149
- 184
Nipo naangalia azam two hapa naona namna historia inavyofichwa na nadala yake kutaja historia ya mwalim tu
maana tangia aanze anataja taasisi km AA,TAA lakini hataji viongozi wake na badala yake anataja jina la jumla km vile wazee au vijana ila nafasi ya nyerere huwa inatajwa kwa jina,
mfano ameshindwa kutaja wazee waliopinduliwa uongozi wa AA na hata vijana waliopindua hawajatajwa,
Wamemtaja rupia kuchangia zaid ya thuluthi moja ya nauli ya nyerere UNO lakini wengine hawajatajwa ambao walichangia theluthi 2
kwa maelezo zaid fuatilia azam two