jamani weekend hii kutakua na mtanange wa kufa mtu pale uwanja mpya wa Taifa kati ya mabingwa wa VPL Yanga a.k.a wa kimataifa na makamu bingwa Azam FC a.k.a matajiri wa jiji.....hii thread ni build up ambapo kila mdau atupie amsha amsha......itakua hatariiiiii mtoto hatumwi dukani