Azam versus Yanga tarehe 22.08.2015

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
451
jamani weekend hii kutakua na mtanange wa kufa mtu pale uwanja mpya wa Taifa kati ya mabingwa wa VPL Yanga a.k.a wa kimataifa na makamu bingwa Azam FC a.k.a matajiri wa jiji.....hii thread ni build up ambapo kila mdau atupie amsha amsha......itakua hatariiiiii mtoto hatumwi dukani
 
Binafsi nategemea soka safi la kushambuliana ila nafasi ya ushindi napeleka apo JANGWANI
 

Huo uwanja ulijengwa mwaka 2006 takribani mika 9 iliyopita hivi bado uwanja huo una sifa ya kuitwa uwanja mpya?

Utabiri wangu ni: Yanga 3-1 Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…