NB: KAMA AL AHLY ANGECHEZA NA AL AHLY BASI AL AHLY ANGEPASUKA ZA KUTOSHA...? HII IMEKAAJE?SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU
Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza
"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"
NB: kama Al ahly angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
Kama siyo Ihefu tutakuletea Mnyama mwenyewe. Kumbuka Kibu D ana hamu ya kukunyandua tena.Yanga njia nyeupa hadi Final Caf champ league Labda tukutane na mkubwa mwenzetu mamelod hapo katikati ndio ubora utaamua.
Mamelods itakuwa mechi nzito Kwa Yanga since timu zote zinacheza mpira wa kushambulia Kwa speed kali
Aya bhana December 1 sio mbali tuombe uzima..SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU
Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza
"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"
NB: kama Al ahly angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
Wakututisha ni Mamelodi tuYanga njia nyeupa hadi Final Caf champ league Labda tukutane na mkubwa mwenzetu mamelod hapo katikati ndio ubora utaamua.
Umeiona vibaya Mzee ...ni azamNB: KAMA AL AHLY ANGECHEZA NA AL AHLY BASI AL AHLY ANGEPASUKA ZA KUTOSHA...? HII IMEKAAJE?
NARUDIA TENA: Nionesheni shabiki wa MWIKO NYUMA FC asie na UKABWILI au MWENYE AKILI TIMAMU nami niwaonesheni MBUZI ANETAGA MAYAI.
Unaongelea mambo ya kabla ya Uhuru 1961?Kuna mwamba anaitwa AZIZ KI
Sio nimeona vibaya sema umehariri tena.Umeiona vibaya Mzee ...ni azam
Unaandikia udenda wakati Al Ahly wanakuja?Tuliza kipago wewe mtu!SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU
Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza
"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"
NB: kama Azam angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
Tumekata Receipt baada ya Mechi yenu na Simba na mechi zenu mbili mbele ya Ahly tuone mnavyo wafunga wabovu goli tatu kipindi cha kwanza.Yanga awafunge wabovu maana anayo nafasi ataanza na mbovu Simba Kisha mechi mbili na mbovu Mwingine Al AHLYSIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU
Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza
"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"
NB: kama Azam angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
Sawasawa.Msisahau kwenda kuwapokea.Kwa mpira huu wa Yanga......Sioni Al ahly wakipona