Gamlemilwe
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 290
- 200
Na ndio shida kubwa ya hawa jamaa.Kwa hiyo mmeishia kumuangalia Fred Uiso Chef wa kimataifa ndani ya Masaptasapta!!
Maana walivyo wapuuzi hata taarifa kama imeshindikana huwa hawatoi.
Iko live kama umelipia 28000Wazushi kweli hao jamaa.
Nimetoka kucheki mechi ya United na Sotton kibanda umiza fasta nikageuka home nikijua game ya Chelsea ntaicheki home,kumbe uzushi mtupu.
Bora ningebaki umiza tu nimalizie hii game.
Lipia 28000 utaionaWazushi kweli hao jamaa.
Nimetoka kucheki mechi ya United na Sotton kibanda umiza fasta nikageuka home nikijua game ya Chelsea ntaicheki home,kumbe uzushi mtupu.
Bora ningebaki umiza tu nimalizie hii game.