Azam walijivunja, APR ni aibu kwa Pyramids ingekuwa fedheha

Azam walijivunja, APR ni aibu kwa Pyramids ingekuwa fedheha

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji ili kukiepuka kikombe na kuganga yajayo.
 
Apr wanaweza kuwasumbua pyramids hapo Kigali,pyramids ni kama azam wanapesa lakini hazinunui mataji....kama wale wazenji mechi yao ya mwisho wamepata goli moja maana yake hata Apr anaweza kuwachallenge.
 
Wakati mwingine Dabo hana lawama kwenye matokeo, ila lawama iko kwa aliyewauza na kuwaacha wachezaji walioifikisha Azam nafasi ya pili
 
Dabo ana uhakika na kazi yake, Kuna vitu aliwashauri wasifanye au wafanye wakamkatalia. Nina uhakika kocha hakupenda kuuzwa kipre au manyama kuachwa wakamponda. Inawezekana hakupenda wakulombia
Kinachomlinda Dabo ni ile sigida tu.
 
Back
Top Bottom