Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji ili kukiepuka kikombe na kuganga yajayo.
Apr wanaweza kuwasumbua pyramids hapo Kigali,pyramids ni kama azam wanapesa lakini hazinunui mataji....kama wale wazenji mechi yao ya mwisho wamepata goli moja maana yake hata Apr anaweza kuwachallenge.
Dabo ana uhakika na kazi yake, Kuna vitu aliwashauri wasifanye au wafanye wakamkatalia. Nina uhakika kocha hakupenda kuuzwa kipre au manyama kuachwa wakamponda. Inawezekana hakupenda wakulombia