Azam Wamegoma Kutekwa, wamefungua ukurasa wa Watu Jasiri

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Kunywa dawa za afya ya akili maana muda si muda utakua chizi
 
Jana baada ya mechi waligoma kuondoka wakakaa kwenye vyumba vya kubadilishia mpaka saa 5.Mganga kuwatapeli ndio ilikuwa topic kubwa.
 
Mwisho wa msimu haya ni mafanikio kama kibegi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…