Azam wamejipanga sana fainali ya kesho, nina uhakika 100% Yanga anakaa kesho

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mimi ni mdigo wa Tanga na ninajua michezo yote inayofanyika mkwakwani, nataka niwaambie mashabiki wa Yanga kesho hamtaamini macho yenu, huyo mdaka mishale atadhalilika sana kesho, winga ayoub lyanga winga Kipre junior, naogopa sana.

Nje ya uwanja wako vizuri na ndani ya uwanja wana balaa, sijamtaja Sopu.
 
kwa ushahidi upi?

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Ili tu nawewe ulete uzi..
 
uyo Sopu vipeeee hakucheza
 
unateseka ukiwa wapi ?
 
Mashabiki wa Simba ni kama mkataba wa Bandari zetu,Hawaeleweki watakuwa kwa mkopo kushabikia Timu Pinzani dhidi ya Yanga Hadi lini?
 
Tunaomba matokeo.
 
Tupe matokeo yalikuwaje? Au mechi haikuchezewakwakwani. Sopu, Lyanga na Kpre jr hawakucheza?
 
ni kweli wamejioanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…