Hapa ni kama umenitia kwenye dumu umenizungusha jijini umekwenda kunitelekeza kwa mtogoleKuendesha satellite frequency ni gharama sana kwa sasa ni bora kutumia frequency locally zilizokuwa zinatumiwa na tv analog ili kupunguza scramble za wave frequency zifanye mambo mengine kwenye mawasiliano