Ukiwa Yanga kuna tu akili flani tunafutika kwenye ubongoNdio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.
Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.
Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.
Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.
Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.
Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.
Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.
Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.
Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.
Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.
Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.
Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Viongozi wa timu zote 2 ilizozitaja hawahusishi Wasemaji wa hizo timu? Mashabiki wa hizo timu hata humu JF hujawasikia?Sielewi kwa nini mmeihusisha AZAM na sasa SIMBA kwa issue ya huyo dogo wakati hamna kiongozi hata mshabiki wa timu hizo aliyeonyesha kuwa anamtaka sana. Inawezekana ni kweli ndiyo timu zinazomtaka ila bila uthibitisho wowote, huku ni kujionyesha tu kuwa hamjiamini na mna wasiwasi na washindani wenu.
Nakumbuka zilipoanza fununu kuwa amepata timu nje, mashabiki wengi wa Yanga walionekana kupata ahueni, wakidai, afadhali aende nje maana kwenda AZAM ni kurudi nyuma, hahah.
Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.
Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.
Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.
Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.
Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.
Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.
Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.
Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.
Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.
Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.
Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.
Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
Ukweliii ndo huu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba sio waliompa fei mkataba mwepesi, usio na thamani na wa kimaskini.
Hata hivyo Fei kalamba dume. Mkimuuza kashinda, mkimbakisha akakaa benchi kashinda, mkimpa mkataba mpya kashinda.
Unataka kusema nn?Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Viongozi wa timu zote 2 ilizozitaja hawahusishi Wasemaji wa hizo timu? Mashabiki wa hizo timu hata humu JF hujawasikia?
Mpe mpe asije kunya kwa utungu.YANGA MWENZANGU MBONA KAMA UMEPAGAWA? NYUZI YA NGAPI HII LEO KUHUSU SIMBA? TULIA BWANA HUYO FEISAL UMEMPA UMUHIMU MKUBWA SANA. ACHANA UFALA. ACHANA NAYE. YANGA SI YA KULIA LIA KILA SIKU. JIKAZE
Akiuzwa katimiza atakalo, akikaa benchi ni yeye aliyesababisha kisasi, atakuwa amefanikiwa kivyovyote vile na benchi hakai.Tutarudi kujadili humu.Akiuzwa kashinda kivip wakati Yanga itapata faida
Akikaa benchi kashinda kivip wakat kiwango chake kinaporomoka
Aliyekwambia anapewa mkataba mpya yanga nani
Wewe haujui mapungufu ya hawa wasemaji wanaoongoea tu bila miongozo kutoka kwa mabosi wao? Kawaida jambo kama hili Ahmed Ally alitakiwa asilizungumzie kabisa hata baada ya kuulizwa maana halihusiani kabisa na Simba. Yeye jukumu lake ni kuongelea masuala ya Simba ila kwa sababu ya huu utamaduni uliojengeka wa vijembe na kejeli kati ya Simba na Yanga, basi akaona atoe neno.Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Viongozi wa timu zote 2 ilizozitaja hawahusishi Wasemaji wa hizo timu? Mashabiki wa hizo timu hata humu JF hujawasikia?
Mtasingizia Simba au Azam. Jiulize kwanini iwe Yanga tu? Yanga boresheni mazingira na mishahara ya wachezaji wala msisingizie timu. Yanga ndiyo tatizo.Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.
Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.
Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.
Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.
Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.
Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.
Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.
Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.
Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.
Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.
Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.
Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
Kwanini iwe Yanga na isiwe Simba au Azam?wewe ni simba wacha kutupoteza maboya
Hata mkishindwa kuwafikisha wake zenu kileleni lawama kwa Simba. Pambaneni na hali yenu,Fei ameshasema kuwa hataki tena kuichezea Yanga bora akawe mvuvi au mkwezi kuliko kuichezea Yanga.Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.
Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.
Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.
Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.
Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.
Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.
Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.
Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.
Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.
Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.
Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.
Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
Alikwambia hichi kilio alichowapa alikitoa bure? Pesa yake inameremeta kwenye akaunt.Akiuzwa kashinda kivip wakati Yanga itapata faida
Akikaa benchi kashinda kivip wakat kiwango chake kinaporomoka
Aliyekwambia anapewa mkataba mpya yanga nani
Fei kajua kuwabinya, kuna kamlio wamekatoa kamesikika kila sehemu nchini, hata huko FIFA si bure wamekasikia.Ukweliii ndo huu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]