Azam wana timu nzuri sana ya propaganda mitandaoni kuliko mikakati ya kuchukua makombe

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Timu hii mwaka jana ilisifiwa sana kiasi kwamba wengine tulidhani itafika mbali sana.Ukweli walichojitahidi tu ni kuondoa unyonge wao dhidi ya Simba.Na hapa tuliona kocha aliyekuwa na mapenzi na yanga akifanya kila liwezekanalo kuifunga Simba na kuwalegezea yanga ili asaidie kutengeneza historia nzuri ya timu anayoipenda na sio kazi yake.

Azam mnapaswa kuweka mikakati ya kubeba makombe na siyo proganda hizi tunazosikia mara ooh wameng'oa chuma Raja wakati ni mchezaji hata hakupewa nafasi kubwa pale Raja.
 
Kally mangonga ongala wnajuta huko aliko kuuza mechi ya yanga kwa milioni tano
 
Kalimangonga ongala siku zake zote pale Azam alihakikisha Yanga inapata ushindi..... acha wamfagilie mbali kabisa hafai kabisa....
 
You ger it ifyu u don ger it foger abour it 😁😁😁😁😁
 
Kally ndio wanacheza uwanjani? hivi huwa mnatumia vijambio kufikiri?
Pumbavu sana wewe,hujui nafasi ya kocha kwenye mechi,yete ndio anapanga team,tactics na technics za kushinda game sasa unashangaa nini,kwa nini team ikifungwa analaumiwa kocha sio wachezaji,huna akili na mpira umeujulia ukubwani
 
πš„πš”πš˜πšŒπš‘πšŠ πš—πš’ πšπšŠπšŠπš•πšžπš–πšŠ πš”πšŠπš–πšŠ πšžπš™πš˜
πšπšŠπš’πšŠπš›πš’ πš”πšžπš‘πšŠπš›πš’πš‹πšž πš”πšŠπš£πš’ πš”πš πšŠ πš–πšŠπš‘πšŠπš‹πšŠ 𝚠𝚎𝚠𝚎 πš—πš’ πš–πš™πšžπš–πš‹πšŠπšŸπšž 𝚠𝚊 πš”πš πšŠπš—πš£πšŠ
 
Kalimangonga ongala siku zake zote pale Azam alihakikisha Yanga inapata ushindi..... acha wamfagilie mbali kabisa hafai kabisa....
Hasira za kubanjuliwa kwenye ligi pamoja na FA Cup.
 
azam hawewezi kuchukua mataji mpaka wajivue usimba
 
simba 2-0 utoh
Mngeibanjua na Azam basi, mechi tatu hola.
Madunduka vs Azam (W0 D1 L2) na hiyo sare Mungu nisaidie.
Wakati Yanga vs Azam ni (W3 D0 L0).
Mechi za Simba vs Uto ni (W1 D1 L1).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…