Azam wanafaa kupongezwa pia

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Kuna jambo kubwa sana ambalo haliongelewi kiviile. Wengi tutasema hamasa, tutasema Wachezaji wanaocheza lakini mpishi wa yote haya ni mzee Salim Bakhresa ambaye aliamua kuwekeza kwenye soka la vijana.
:
Angalia namna maua ya Azam yalivyopendezesha bustani ya Taifa Stars? :
Makipa -
1. Aishi Manula.
2. Metacha Mnata

Mabeki
Brigedia Erasto Nyoni
Gadiel Michael kiberenge
Jenerali Aggrei Morris
:
Viungo
Mudathir Yahya
Farid Mussa (Transfomer)
Himid Mao Mkami (Mkata umeme)
:
Mafowadi
Yahya Zaid
Chilunda Shaban
Saimon Msuva (Alicheza Academy kabla ya kutimkia Moro United)
Rashid Mandawa
John Bocco Adebayor
:
Hao wote wamepitia aidha akademi ya Azam au waliwahi kucheza Azam.
:
Kongole kwa Azam na tunatamani vilabu vingine viendeleze mfumo huu.


'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Nilidhani unazungumzia wachezaji ambao ni product kutoka Azam Academy ?

Tutajie wangapi waliotoka kwenye academy
 
Nilidhani unazungumzia wachezaji ambao ni product kutoka Azam Academy ?

Tutajie wangapi waliotoka kwenye academy
Na mimi nilijua anaongelea zao la Azam Academy.

Kama kumbukumbu zangu hazipo sawa, basi naomba nirekebishwe.

Nilianza kumsikia Erasto Nyoni kitambo sana. Kipindi hicho alitokea Academy ipo Arusha kitu kama Rolingston au Livingstone. Akaenda APR ya Rwanda.

Alicheza azam akiwa tayari ameimarika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kwenye hiyo list ni wachezaji wachache sana wametokea kwenye academy ya Azam

Erasto Nyoni
Aggrey Morris
John Bocco

na wengine wengi hawajatoka academy Azam na Msuva alienda kufanya majaribio Azam wakamtosa
 
Yanga nao wapongezwe kwa kuwatoa Msuva,Hassan kesy,Faisal ,Yondani,Gadiel michael ,eeeh maana na kocha wa timu moja katamba eti wachezaji wake wamesaidia AFCON yaani uzalendo zero kabisa
 
Uko sawa kwenye hiyo list ni wachezaji wachache sana wametokea kwenye academy ya Azam

Erasto Nyoni
Aggrey Morris
John Bocco

na wengine wengi hawajatoka academy Azam na Msuva alienda kufanya majaribio Azam wakamtosa
Hapo. Kwa msuya nacheka kingereza et wakamtosa
 
Timu ya Taifa Samatta ...kama hayupo migambo wanaruka Na kukanyagana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…