Azam wapandisha bei kifurushi cha 28,000 mpaka 35,000

Azam wapandisha bei kifurushi cha 28,000 mpaka 35,000

igogondwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2021
Posts
2,597
Reaction score
3,373
Nimepata ujumbe huu kutoka Azam TV: Ndugu Mteja, kutakuwa na mabadiliko kidogo ya kifurushi cha Azam Play ambapo kutakuwa na nyongeza ya chaneli na sasa kitakuwa Tsh 35,000 kuanzia Sept 1,2021.

Mwisho wa kunukuu.

Jamani kazi iendelee [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Nimepata ujumbe huu kutoka Azam TV : Ndugu Mteja, kutakuwa na mabadiliko kidogo ya kifurushi cha Azam Play ambapo kutakuwa na nyongeza ya chaneli na sasa kitakuwa Tsh 35,000 kuanzia Sept 1,2022...Mwisho wa kunukuu. Jamani kazi iendelee [emoji134][emoji134][emoji134]
Naona ulikua unakurupukia kua wa kwanza kuleta hii mada. September 2022 ndo wataongeza Bei?
 
Hii nchi sasa inaenda kuwa jehanamu kwa mtanzania wa kawaida.
 
Tozo ina maumivu makubwa sanaaa,itapandisha gharama za Maisha KWA 100%.Wacha tusubiri na wamiliki wa daladala nao waje
 
Naona ulikua unakurupukia kua wa kwanza kuleta hii mada. September 2022 ndo wataongeza Bei?
Kwani kuwa wa kwanza kupost humu kuna malipo wewe pimbi?? Kama ni mtumiaji wa smartphone mzoefu this is simply a typo error...
 
Back
Top Bottom