September Mosi, 2022 tutakuwepo basi? Tena si tuliochanja ndio ata huu mwaka unaweza usiishe.kitakuwa Tsh 35,000 kuanzia Sept 1,2022...
Naona ulikua unakurupukia kua wa kwanza kuleta hii mada. September 2022 ndo wataongeza Bei?Nimepata ujumbe huu kutoka Azam TV : Ndugu Mteja, kutakuwa na mabadiliko kidogo ya kifurushi cha Azam Play ambapo kutakuwa na nyongeza ya chaneli na sasa kitakuwa Tsh 35,000 kuanzia Sept 1,2022...Mwisho wa kunukuu. Jamani kazi iendelee [emoji134][emoji134][emoji134]
Typing error yeyote inaweza kumtokea,Naona ulikua unakurupukia kua wa kwanza kuleta hii mada. September 2022 ndo wataongeza Bei?
ππππππSeptember Mosi, 2022 tutakuwepo basi? Tena si tuliochanja ndio ata huu mwaka unaweza usiishe.
π π π π π πSeptember Mosi, 2022 tutakuwepo basi? Tena si tuliochanja ndio ata huu mwaka unaweza usiishe.
Kwa hiyo Mzee wa Mkono wa Baunsa yuko sahihi:'[emoji192][emoji192]September Mosi, 2022 tutakuwepo basi? Tena si tuliochanja ndio ata huu mwaka unaweza usiishe.
Wema unaoo!Azam Tv "Burudani kwa wote"