Azam wewe ni ndugu yetu wa damu, tunakutuma ukamfunge Yanga mtakapokutana

Azam wewe ni ndugu yetu wa damu, tunakutuma ukamfunge Yanga mtakapokutana

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Kumbuka Bakhresa ambaye ni mmiliki wa azam ni mwanachama wa SIMBA na amewahi kuwa muweka hazina wa timu ya Simba kwahiyo sisi ni ndugu wa damu.

Tunakutuma utakapokutana na Yanga mpige chuma 3 bila, tena magoli yote yawe ni magoli ya tobo.
 
Wewe kazi imekushinda unatuma madogo wakusaidie
 
Attachments

  • Screenshot_20241013_050841_Instagram.jpg
    Screenshot_20241013_050841_Instagram.jpg
    135 KB · Views: 2
Kumbuka bakhresa ambaye ni mmiliki wa azam ni mwanachama wa SIMBA na amewahi kuwa muweka hazina wa timu ya simba kwahiyo sisi ni ndugu wa damu.

tunakutuma utakapokutana na yanga mpige chuma 3 bila, tena magoli yote yawe ni magoli ya tobo.
Poleni kwa musiba ndg zetu
 
Kumbuka bakhresa ambaye ni mmiliki wa azam ni mwanachama wa SIMBA na amewahi kuwa muweka hazina wa timu ya simba kwahiyo sisi ni ndugu wa damu.

tunakutuma utakapokutana na yanga mpige chuma 3 bila, tena magoli yote yawe ni magoli ya tobo.
Wewe mwenzetu kwa mara ya mwisho ulimfunga lini? Maana inashangaza kila siku unawatuma tu wenzako! Na wakati mwingine unadiriki hadi kuwapangia makocha wa timu nyingine wachezaji wa kuanza wakikutana na hiyo Yanga!
 
Back
Top Bottom