Mmiliki bado ana hasira sana na SSC maana walimtukana miaka kadhaa kuwa tajiri anauza lamba lamba aende zake akaanzishe team yake.....sio SSC najua bado ana hasira na waliomsemea mbofu!!!!!
Wapenzi wa soka,
Inasemekana Azam inaandaliwa kuwa Zbr Heroes ndio maana Wazanzi-bara wengi wanakatwa na kuwekwa Wazanzibari, kadhalika kikosi cha kwanza Azam kimesheheni mastaa toka Zbr heroes.....hii inatokana na ukweli kwamba mosi mmiliki wake ni ..........na pili ukweli kwamba znb heroes inashiriki kombe la kisiasa la challenge ambalo ni mara moja tu kwa mwaka hivyo kuhitaji kuifanya timu hii iwe na kambi ya kudumu mahali fulani amabpo pameteuliwa kuwa ni AZAM FC!!
Changieni

Hizo tetesi nimezisikia na ndiyo ilikuwa sababu ya Ramadhani Chombo Redondo ilikuwa atemwe kwenye kikosi cha Azam mwishoni mwa mwaka jana. Kama mtakumbuka hata Simba walipotaka kumsajili Azam walikataa na Redondo aligoma kwenda kwa mkopo Moro United. Nafasi ya Redondo imechukuliwa na ABDI KASSIM na kuna uwezekano mkubwa sana Redondo akasugua Bench kuanzia round ya pili utakaoanza mwezi huu. Hata watangazaji wa Clouds Fm wana hizo taarifa japo si Officially.