Azam yabanwa mbavu na PAMBA JIJI yatoa sare chamanzi

Azam yabanwa mbavu na PAMBA JIJI yatoa sare chamanzi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Pamba wamedhurumiwa kama kawaida tatu na kaparaza nywele lakini wapi
 
Azam ni timu ya kichoko sijawahi kuona. Aliyenidanganya nimuweke kwenye mkeka sijui ni nani tu? Hovyo kabisa.
 
Hebu nielezeeni lile kwa nini halikua goli ikawa faul,? Navyojua mtu akichezewa faul refa hutoa advantage kwa timu husika kama bado wanaumiliki mpira.
 
Wewe ndio Lofa.
Unamuwekeaje dhamana Azam?! Mule hakuna timu, ni kikundi cha kusindika 'Ngano' na kutengeneza 'Ice Cream'
Mzee Bakhresa inabidi awapeleke wachezaji wa litimu lake wakakande maandazi usiku ili wajue ni namna gani pesa za kuwalipa mishahara huwa anazipata kwa taabu sana.
 
Hebu nielezeeni lile kwa nini halikua goli ikawa faul,? Navyojua mtu akichezewa faul refa hutoa advantage kwa timu husika kama bado wanaumiliki mpira.
ile ni foul. sema unaweza take it as advantage. ligi kuu kazi ipo msimu huu
 
Teh!

Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card.

Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

Pia Pamba jiji ipo vizuri mkabisha haya sasa Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu misimu minne, wakikaza watasumbua sana

Mechi mbili point mbili azam bhana

Wachambuzi wa mchongo mpo?
huu msimu point 3 lazima ukaze. simba wamepewa point bure kabisa. sema we will see
 
Back
Top Bottom