Azam yabanwa mbavu na PAMBA JIJI yatoa sare chamanzi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Pamba wamedhurumiwa kama kawaida tatu na kaparaza nywele lakini wapi
 
Azam ni timu ya kichoko sijawahi kuona. Aliyenidanganya nimuweke kwenye mkeka sijui ni nani tu? Hovyo kabisa.
 
Hebu nielezeeni lile kwa nini halikua goli ikawa faul,? Navyojua mtu akichezewa faul refa hutoa advantage kwa timu husika kama bado wanaumiliki mpira.
 
Wewe ndio Lofa.
Unamuwekeaje dhamana Azam?! Mule hakuna timu, ni kikundi cha kusindika 'Ngano' na kutengeneza 'Ice Cream'
Mzee Bakhresa inabidi awapeleke wachezaji wa litimu lake wakakande maandazi usiku ili wajue ni namna gani pesa za kuwalipa mishahara huwa anazipata kwa taabu sana.
 
Hebu nielezeeni lile kwa nini halikua goli ikawa faul,? Navyojua mtu akichezewa faul refa hutoa advantage kwa timu husika kama bado wanaumiliki mpira.
ile ni foul. sema unaweza take it as advantage. ligi kuu kazi ipo msimu huu
 
huu msimu point 3 lazima ukaze. simba wamepewa point bure kabisa. sema we will see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…