Napenda kumpongeza mmiliki wa timu ya AZAM kwa kukataa kushiriki katika mashindano yanayodhaminiwa na TUSKER-2009.Umeonyesha imani thabiti katika dini yako si kuwa mnafiki kama MATAJIRI AU WANASIASA WENGINE.Pia BAKWATA wametangaza au kupiga marufuku kwa binti wa kiislamu kushiriki mashindano ya u miss tanzania.