Azam yamsajili Allan Wanga

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319

Klabu ya Azam ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya na klabu ya El Mereikh ya Sudan, Allan Wanga jana kwenye makubaliano yaliyotiwa sahihi mjini Dar es Salaam.

Wanga anajiunga na matajiri hao wa Tanganyika kwa mkataba wa mwaka mmoja!

Chanzo: Soka.co.ke
 
Hatuoni akijiandaa, kaondoka Okwi kaleta Mgosi. A step backward

Mkuu kuna Binadamu anaitwa Laudit Mavugo.. Anatoka Burundi.. Ana miaka 24.. Msimu uliopita alifunga goli 31 katika mechi 30.. Ni mbadala tosha wa Okwi.
 
Mkuu kuna Binadamu anaitwa Laudit Mavugo.. Anatoka Burundi.. Ana miaka 24.. Msimu uliopita alifunga goli 31 katika mechi 30.. Ni mbadala tosha wa Okwi.

Serrunkuma nae alikuja kwa story hizi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…