mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Klabu ya Azam fc yaonjeshwa ladha ya mchezo wa ligi za mabingwa kwa kupokea kichapo cha bao nne kwa moja dhidi ya wenyeji wao Wydad Casablanca inayoongozwa na aliyekua kocha wa Mamelod Sundowns, Rulan Mokwena katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25, Hata hivyo azam inatarajiwa kushiriki michuano ya mabingwa Afrika msimu ujao.