Azam Yawabamiza Police Tanzania 8-0, Polisi watishia kuwalaza selo kwa udhalilishaji

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Huko kunako viwanja vya Azam complex Chamazi, Matajiri wa chamazi wamewakandamiza Polisi Tanzania 8-0, huku Prince Dube akipiga goli 4 peke yake,

Hii ni match yenye magoli mengi zaidi katika msimu huu
 
Azam unafananisaha na taka taka

Aka de Kolo wizard [emoji23][emoji23]
 
Safi sana! Timu za Serikali zinaongeza wingi tu ktk League. Zipungue!
 
Poliso sio kuwa wanashuka, bali wanashuka kwa aibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…