isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Hahaha πSio aina mpya ya tozo hiyo!,maana sahivi sirikali imechangamka kweli..π
Wow! Asante ChiefLast time naangalia ilikuwa tu ni wallet kwa ajili ya kulipia bidhaa zao, ila nime Google naona wanataka ku expand nje ya hapo na kucompete na Tigopesa/mpesa
Umuhimu wako unaonekanaga hapa mkuu.Last time naangalia ilikuwa tu ni wallet kwa ajili ya kulipia bidhaa zao, ila nime Google naona wanataka ku expand nje ya hapo na kucompete na Tigopesa/mpesa
Kwa nilivyoelewa kama paypal,Wow! Asante Chief
Kwa maana hii tunategemea Azam Telecommunications au AzamPay/AzamPesa iliyokuwa kama NALA Money, PayPal au VISA na Mastercard?
Walinunua Frequency kipindi fulani ila kimya sana.Umuhimu wako unaonekanaga hapa mkuu.
Thanks ila jamaa wanaweka azam pesa bila kuwa na mtandao wao?
Yes! Hii safi sana katikia kufikia hatua kama taifa kujitegemea kiteknolojia na kidijitali. Naona kupitia hayo maelezo huduma itakuwa inatanuliwa kadri muda na watumiaji wanavyosogea.Kwa nilivyoelewa kama paypal,
AzamPay - Home
AzamPay is specialized in the development of end-to-end online payment management solutions for companies operating in East Africa.www.azampay.com
Unatumia azam pay kama mtu wa kati kwa card yako hio hio ya Visa na Mastercard.
Hv Nala Money iliishia wap?Wow! Asante Chief
Kwa maana hii tunategemea Azam Telecommunications au AzamPay/AzamPesa iliyokuwa kama NALA Money, PayPal au VISA na Mastercard?
Juzi juzi hapa nimeona kwenye news wame signup with Equity bank...Hv Nala Money iliishia wap?